Roho ya Wakarmeli
Roho ya Wakarmeli ni hamu moto moto ya nafsi ya kutaka kuwa na uzoefu
wa moja kwa moja wa Mungu. Kwa maneno mengine, roho ya Wakarmeli i
katikati ya moyo wa maombi, yanayoeleweka kama urafiki wa upendo kati ya
nafsi ya mtu na Mungu, ambayo hujizamisha katika tafakari kama zawadi
ya bure ya Mungu. Roho ya Wakarmeli inalenga kukuza uhusino makini kati
ya mtu na Yesu Kristo. Huu ndio mvuto ambao Wakarmeli wameuona na
kuutamani kwa Bikira Maria na nabii Eliya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.