Tufungue Biblia

Tufungue Biblia

Hadithi ya jina Biblia

Neno Biblia linatokana na neno la Kigiriki <τα΄ Βιβλια- tà biblìa>, maana yake “vitabu”. Walikuwa waandishi wa kale wa Kikristo ambao walianza kuita Biblia mkusanyiko wa Maandiko Matakatifu: hati kongwe kabisa katika suala hili ni barua iliyoandikwa karibu 150 B.C na Clement wa Alexandria, mmojawapo wa Mababa wa Kanisa wa awali. Jina likawa ndio jina la mkusanyiko wa Maandiko Matakatifu ya Agano la Kale na Jipya.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.

Home

Kundi la Wakarmeli Watanzania wa kwanza lililofungua misheni 2009 Bikira Maria na Nabii Eliya katika Karmeli